• HABARI MPYA

  Friday, October 06, 2017

  UJERUMANI YAITANDIKA IRELAND KASKAZINI 3-1 PALE PALE BELFAST

  Sebastian Rudy (kushoto) akishangilia na Joshua Kimmich (kulia) baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji, Ireland ya Kaskazini Uwanja wa Windsor Park mjini Belfast usiku wa jana. Kimmich naye alifunga bao la tatu dakika ya 86, wakati la pili lilifungwa na Sandro Wagner PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAITANDIKA IRELAND KASKAZINI 3-1 PALE PALE BELFAST Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top