• HABARI MPYA

  Friday, October 06, 2017

  KANE AING'ARISHA ENGLAND KUFUZU KOMBE LA DUNIA

  Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia England bao pekee la ushindi dakika ya 90 ikiilaza 1-0 Slovenia katika mchezo wa Kundi F kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Wembley mjini London. Kane aliwaongoza Simba Watatu kwa mara ya kwanza kama Nahodha jana PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KANE AING'ARISHA ENGLAND KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top