• HABARI MPYA

  Wednesday, October 11, 2017

  LUKAKU AIFUNGIA LA MWISHO UBELGIJI MBIO ZA URUSI 2018

  Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la nne dakika ya 78 ikishinda 4-0 dhidi ya Cyprus katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussels, Ubelgiji. Mabao mengine ya Ubelgiji ambayo ilikwishafuzu kabla ya mechi ya jana yalifungwa na Eden Hazard mawili dakika za 12 na 63 kwa penalti na Thorgan Hazard dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AIFUNGIA LA MWISHO UBELGIJI MBIO ZA URUSI 2018 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top