Beki wa Yanga, Juma Abdul (kushoto) akimtoka mchezaji wa Jamhuri ya Pemba katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi usiku wa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga ilishinda 6-0
Kiungo wa Yanga, Mzambia Justin Zulu aliumia jana na kushindwa kumalizia mchezo
Winga wa Yanga, Emmanuel Martin akimtoka beki wa Jamhuri
Kiungo wa Yanga, Mnyarwanda Haruna Niyonzima akimtoka mchezaji wa Jamhuri
Wachezaji wa Yanga, Martin na Niyonzima wakimpongeza mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma baada ya kufunga mabao mawili
Kikosi cha Yanga kilichoanza jana
UFC's Jon Jones Says Potential Alex Pereira Fight Would Be Biggest 'in MMA
History'
-
Even though Jon Jones still has a bout with Stipe Miocic that will likely
happen at some point, the UFC heavyweight champion also has his sights set
on Alex…
19 minutes ago
0 comments:
Post a Comment