Nyota wa Chelsea, Pedro akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 18 na 75 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Peterborough kwenye mchezo wa Komba la FA usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Michy Batshuayi dakika ya 44 na Willian dakika ya 53, wakati la Peterborough lilifungwa na Tom Nichols huku mkongwe John Terry akitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment