Kiungo wa Liverpool, Emre Can akiwania mpira wa juu na mchezaji wa Plymouth, David Fox katika mchezo wa Kombe la FA usiku wa jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya 0-0 na zitalazimika kurudiana kuwania kusonga mbele kwenye michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment