Kiungo wa Barcelona, Sergio Busquets akimuangusha mshambuliaji wa Villarreal, Alexandre Pato katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa El Madrigal, timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Villarreal walitangulia kwa bao la Nicola Sansone dakika ya 49 kabla ya Lionel Messi kuisawazishia Barca kwa shuti la mpira wa adhabu dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment