Mshambuliaji Dele Alli akienda juu kuifungia kwa kichwa Tottenham Hotspur bao la pili dakika ya 54 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea usiku wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane mjini London. Dele alifunga na bao la kwanza pia dakika ya 45 yote akimalizia pasi za Christian Eriksen PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment