LWANDAMINA 'ALIVYOWAKAMUA' WACHEZAJI YANGA LEO
Kocha wa Yanga, Mzambia Geirge Lwandamina akiongoza mazoezi ya timu hiyo leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam
Wachezaji wa Yanga wakiwa mazoezini leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam
Hapa Simon Msuva anatafuta mbinu za kuwapita Haruna Niyonzima na Pato Ngonyani (kulia)
Simon Msuva akimiliki mpira pembeni ya Pato Ngonyani
Vijana walifanya mazoezi ya aina tofauti leo
0 comments:
Post a Comment