Wakali watatu wa Barcelona, Luis Suarez, Neymar Junior na Lionel Messi wakijishangaa baada ya kufungwa 2-1 na Valencia usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa La Liga Uwanja Camp Nou, huo ukiwa mchezo wa tatu mfululizo wanafungwa kwa mara ya kwanza baada ya miaka 13. Mabao ya Valencia yalifungwa na Ivan Rakitic aliyejifunga wakati akijaribu kuokoa krosi ya Guilherme Siquiera dakika ya 26 na Santi Mina dakika ya 45, wakati la Bara lilifungwa na Messi dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment