Mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Goodison Park. Timu hizo zimetoka 1-1 bao la Everton likifungwa na Lukaku, ambalo lilikuwa la kusawazisha baada ya Scott Dann kuanza kwafungia Palace PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Nuno Espirito Santo set to be sacked by West Ham after Premier League
relegation - and with player's wife attacking him after he dropped her
husband for 'no particular reason'
-
Nuno had refused to be drawn on his own future on Sunday after West Ham's
relegation to the Championship was confirmed, but is now expected to leave
the club.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment