YANGA SC WAENDELEA NA MAANDALIZI KAGAME, SIMBA SC WANASUBIRI KOCHA
Wachezaji wa Yanga SC wakiwa mazoezini leo asubuhi Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Yanga SC inajiandaa na michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame itakayoanza mwanzoni mwa mwezi ujao mjini hapa.
Kocha wa Yanga SC, Hans van der Pluijm (katikati) akifanya mazoezi ya viungo na wachezaji wake. Kulia ni Kamara aliye majaribio kutoka Sierra Leone na kushoto Rajab Zahir. Wapinzani wao Simba SC hawajaanza mazoezi kwa sababu kocha wap mpya hajawasili.
0 comments:
Post a Comment