• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 27, 2015

  TEVEZ APGILIA MSUMARI WA MWISHO ARGENTINA YAUA 5-4 KWA PENALTI NA KUTINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA

  Argentina 0-0 Colombia (5-4 on pens): Carlos Tevez hits winning spot kick after David

  Kulia Carlos Tevez akishangilia na kipa Romero baada ya kumfunga kipa Ospina wa Colombia kushoto PICHA ZAIDI NENDA

  TIMU ya taifa ya Argentina imetinga Nusu Fainali ya michuano ya Copa America kwa ushindi wa penalti 5-4 kufuataia sare ya 0-0 dhidi ya Colombia baada ya sare ya 0-0.

  Sifa zimuendeee mshambuliaji wa Juventus ya Italia, Carlos Tevez aliyefunga penalti ya mwisho baada ya kurejeshwa Boca Juniors.
  Penalti za Colombia zilifungwa na James Rodriguez, Radamel Falcao, Cuadrado na Cardona wakati Muriel, Biglia na walikosa.
  Penalti za Argentina zilifungwa na Messi, Garay, Banega, Lavezzi na Tevez, huku Biglia na Rojo wakikosa.
  Kikosi cha Argentina kilikuwa; Romero, Zabaleta, Garay, Otamendi, Rojo, Biglia, Mascherano, Pastore/Banega dk77, Messi, Aguero/Tevez dk73 na Di Maria/Lavezzi dk87.
  Colombia; Ospina, Zuniga, Zapata, Murillo, Armero, Cuadrado, Mejia, Rodriguez, Ibarbo/Muriel dk86, Jackson/Falcao dk74 na Gutierrez/Cardona dk24.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TEVEZ APGILIA MSUMARI WA MWISHO ARGENTINA YAUA 5-4 KWA PENALTI NA KUTINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top