• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 27, 2015

  NGOMA NA ZUTAH HAWA HAPA DAR ES SALAAM MJINI TAYARI KWA KAZI YANGA

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Donald Ngoma (kushoto) akiwa na beki wa kulia wa Ghana, Joseoph Tetteh Zutah baada ya wawili hao kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam kwa ajili ya kuja kusaini mikataba ya kujiunga na Yanga SC. Ngoma aliyetokea Zimbabwe alikutana na Zutah Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi, Kenya na kuunganisha ndege moja kuja Dar es Salaam. 
  Kutoka kulia ni Zutah, Katibu wa Yanga SC, DK Jonas Tiboroha, Mjumbe wa Kamati ya Usajili, Mussa Katabaro na Ngoma.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGOMA NA ZUTAH HAWA HAPA DAR ES SALAAM MJINI TAYARI KWA KAZI YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top