• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 25, 2015

  FIRMINO APEWA JEZI NAMBA 11 LIVERPOOL, NAMBA 7 YAMSUBIRI JAMES MILNER

  KIUNGO mshambuliaji wa Brazil, Roberto Firmino ameweka rekodi ya mchezaji wa pili ghali kuwahi kuajiliwa Liverpool kihistoria, lakini James Milner atavaa jezi maarudu zaidi msimu ujao.
  Mkali huyo wa Brazil ambaye uhamsho wake umegharimu Pauni Milioni 29 kutoka Hoffenheim, ameomba jezi namba 11 ambayo anavaa katika timu yake ya taifa.
  Kuelekea usajili wake, kulikuwa na hisia kwamba Firmino atapewa jezi namba 7 – waliowahi kutumia magwiji wa klabun hiyo kama Kevin Keegan, Kenny Dalglish na Luis Suarez – lakini heshima hiyo sasa atapewa Milner, ambaye atatangazwa rasmi kuwa mchezaji wa Liverpool Julai 1.
  Brazilian international Firmino poses with the Liverpool shirt alongside chief executive Ian Ayre in Chile
  Mbrazil Roberto Firmino akikabidhiwa jezi ya Liverpool na Mtendaji Mkuu wa klabu, Ian Ayre nchini Chile
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO APEWA JEZI NAMBA 11 LIVERPOOL, NAMBA 7 YAMSUBIRI JAMES MILNER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top