• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 21, 2015

  TAIFA STARS NA UGANDA CRANES KATIKA PICHA JANA AMAAN

  Mshambuliaji wa Tanzania, Simon Msuva akimtoka beki wa Uganda, Bakari Shafiq katika mchezo wa kwanza Raundi ya Kwanza kufuzu michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwaka 2016 nchini Rwanda uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana. Uganda ilishinda 3-0.
  Bakari Shafiq (kuli) akimdhibiti mshambuliaji wa Tanzania, Kevin Friday 
  Kevin Friday akipambana na mchezaji wa Uganda, Tekkwo Derrick
  Beki wa Tanzania, Shomary Kapombe akiwatoka wachezaji wa Uganda
  Nahodha wa Tanzania, Nadir Haroub 'Cannavaro' akimtoka mchezaji wa Uganda
  Kiungo wa Tanzania, Frank Domayo akimtoka mchezaji wa Uganda
  Kikosi cha Tanzania jana
  Kikosi cha Uganda jana
  Beki wa Tanzania, Erasto Nyoni akiwatoka wachezaji wa Uganda
  Wachezaji wa Uganda wakishangilia bao la tatu jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA UGANDA CRANES KATIKA PICHA JANA AMAAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top