• HABARI MPYA

    Saturday, June 20, 2015

    JOE GOMEZ ATUA LIVERPOOL KWA PAUNI MILIONI 3.5

    KLABU ya Liverpool imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao, baada ya kukamilisha usajili wa beki Joe Gomez.
    Beki huyo Charlton mwenye thamani kubwa, alikamilisha vipimo vya afya Ijumaa na kusaini Mkataba wa miaka mitano baada ya klabu hizo kukubaliana juu ya dau la Pauni Milioni 3.5.
    Gomez atajiunga na kikosi cha Liverpool kitakaporejea mazoezini Julai 6 mwaka huu na anatarajiwa kwenda nacho kwenye ziara ya kujiandaa na msimu mpya Mashariki ya Mbali na Australia.
    Charlton Athletic defender Joe Gomez has completed a £3.5million move to Liverpool
    Beki wa Charlton Athletic, Joe Gomez akiwa na jezi ya Liverpool aliyokabidhiwa baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 3.5
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JOE GOMEZ ATUA LIVERPOOL KWA PAUNI MILIONI 3.5 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top