• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 24, 2015

  LIVERPOOL YAFANYA KWELI, YAMSAJILI MKALI WA BRAZIL FIRMINO

  KIUNGO Roberto Firmino amekuwa mchezaji ghali wa pili kusajiliwa na Liverpool kihistoria baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 29 kutoka Hoffenheim.
  Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 23, amekubali kusaini Mkataba wa miaka mitano ambao atakuwa analipwa mshahara wa Pauni 100,000 kwa wiki. 
  Anashughulikia kibali cha kufanyia kazi England na akifanikisha atakwenda kufanyiwa vipimo vya afya Anfield mara baada ya michuano ya Copa America. 
  Attacking midfielder Roberto Firmino has completed his transfer to Liverpool for £29m
  Kiungo mshambuliaji wa Brazil, Roberto Firmino amekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 29 kwenda Liverpool
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAFANYA KWELI, YAMSAJILI MKALI WA BRAZIL FIRMINO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top