• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 25, 2015

  ALIYEMTIA 'DOLE' NYUMA CAVANI AFUNGIWA KUTOCHEZA TENA COPA AMERICA

  BEKI wa Chile, Gonzalo Jara amefungiwa kucheza hatua yote iliyobaki ya mashindano ya Copa America, baada ya jana kumtia 'dole' nyuma mshambuliaji wa Uruguay, Edinson Cavani in the backside.
  Jara alizabwa kibao na Cavani usoni na mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain akaonyeshwa kadi ya pili ya njano na kuwa nyekundu hivyo kutolewa nje huku wa Chile akiachwa bila adhabu yoyote.
  Pamoja na mchezaji huyo wa zamano wa West Brom, Brighton na Nottingham Forest kuisaidia timu yake kushinda 1-0 usiku wa kuamkia leo na with kutinga Nusu Fainali ya michuano ambayo wao ni wenyeji, lakini hatacheza tena.
  Edinson Cavani (third left) makes his views very clear as he argues with Gonzalo Jara over the incidents
  Edinson Cavani (wa tatu kushoto makes akilalamikia kitendo alichofanyiwa na Gonzalo Jara 
  Jara approached Cavani late in the game
  He appeared to stick his finger in the striker's bum
  Jara akimfanyia udhalilishaji Cavani, ambaye alipojibu kwa kumzaba kibao beki huyo alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 63
  Cavani was shown a red card for two yellows after abusing the referee's assistant and the flick at Jara
  Cavani akionyeshwa kadi nyekundu licha ya kudhalilishwa na Jara
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ALIYEMTIA 'DOLE' NYUMA CAVANI AFUNGIWA KUTOCHEZA TENA COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top