• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 21, 2015

  PLUIJM NA CHANJI WAKISAKA NYOTA WA KUSAJILI YANGA SC AMAAN JANA

  Kocha wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm (kushoto) akijadiliana kitu na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Isaac Chanji (kulia) wakati mchezo kati ya Tanzania, Taifa Stars na Uganda, Te Cranes ukiendelea jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Uganda ilishinda 3-0 mchezo huo wa kwanza Raundi ya Kwanza kufuzu michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwaka 2016 nchini Rwanda.

  Dhahiri Pluijm alikuwepo Uwanja wa Amaan jana kutafuta wachezaji wa kusajili.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PLUIJM NA CHANJI WAKISAKA NYOTA WA KUSAJILI YANGA SC AMAAN JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top