• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 23, 2015

  AZAM WASHUSHA KILIMANJARO V, INAENDA KASI ZAIDI NA NDANI KAMA DEGE LA AIR BUS

  Boti mpya ya kisasa, Kilimanjaro V ya kampuni ya Azam Marine, inayomilikiwa na kampuni ya Said Salim Bakhresa ambao pia ni wamiliki wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam baada ya kuwasili eneo la Bandari ya Zanzibar. Boti hiyo inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni kwa safari za Bara na Visiwani.
  Ni boti iendayo kasi zaidi na ndani muundo wake ni kama ndege kubwa aina ya Air Bus

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM WASHUSHA KILIMANJARO V, INAENDA KASI ZAIDI NA NDANI KAMA DEGE LA AIR BUS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top