• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 23, 2015

  ERASTO EDWARD NYONI NDIYE 'KINGUNGE' WA TAIFA STARS

  Erasto Edward Nyoni ndiye mchezaji wa muda mrefu zaidi kwenye kikosi cha kwanza timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Nyota huyo mpole na mwenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya Uwanja, alianza kucheza kikosi cha kwanza Taifa Stars tangu mwaka 2007 chini ya kocha Mbrazil, Marcio Maximo na ameendelea kuwamo kikosi cha kwanza hata kwa makocha waliofuatia Wadenmark, Jan Poulsen, Kim Poulsen na Mholanzi Mart Nooij Poulsen. Je, mbele ya Charles Boniface Mkwasa mchezaji huyo kiraka ataendelea kutamba Taifa Stars?    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ERASTO EDWARD NYONI NDIYE 'KINGUNGE' WA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top