• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 24, 2015

  KILIMANJARO V YAWEKWA KWENYE MAJI TAYARI KWANZA SAFARI ZA DAR ZENJI

  Boti ya Kilimanjaro V ya Azam Marine, inayomilikiwa na kampuni ya Said Salim Bakhresa ambao pia ni wamiliki wa Azam FC, ikiwa katika Bandari ya Malindi, Zanzibar baada ya kushushwa kwenye meli ya Thorco Clairvaux iliyotokea Australia, tayari kuanza safari zake kati ya Dar es Salaam na Unguja. 
  Kilimanjaro V ikiteremshwa katika maji ya bahari ya Hindi leo
  Kilimanjaro V iikiteremeshwa kwenye Meli leo tayari kuanza safari zake kati ya Bara na Visiwani.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KILIMANJARO V YAWEKWA KWENYE MAJI TAYARI KWANZA SAFARI ZA DAR ZENJI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top