MAANDALIZI YA KOMBE LA DUNIA NA MICHEZO YA AFRIKA KWA TIMU ZA TAIFA ZA WANAWAKE
Kocha Rogasian Kaijage akiongoza mazoezi ya timu za taifa za wanawake chini ya umri wa miaka 20 na ya wakubwa, maarufu kama Twiga Stars asubuhi ya leo Uwanja wa Karume, Ilala, Dar es Salaam. U20 inajiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia kati ya Julai 10 na 12 wakati Twiga Stars inajiandaa na Michezo ya Afrika (AG) itakayofanyika mjini Brazzaville, Kongo Septemba mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment