• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 26, 2015

  NGASSA NA MKEWE WAFANYA 'SHOPPING LA HATARI' BETHLEHEM

  Mshambuliaji wa Free State Stars ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Mrisho Khalfan Ngassa (kulia) akiwa na mkewe wakifanya manunuzi ya vitu vya kutumia nyumbani katika dula kubwa la bidhaa tofauti mjini Bethlehem, Afrika Kusini leo. Kushoto ni mkewe Radhia 'Nish' Mngazija
  Nish akitafakari bidhaa za kuchukua katika duka kubwa la bidhaa Bethlehm
  Humu hazipatikani dagaa za Kigoma wala sato, mboga apendazo Mrisho Ngassa na hapo ndipo kichwa kinamuuma Nish
  Nish akiwa bize na kupakia bidhaa. Haya ni maisha tofauti na wale waliyozoea kule Yombo wilayani Temeke, Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NGASSA NA MKEWE WAFANYA 'SHOPPING LA HATARI' BETHLEHEM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top