• HABARI MPYA

  Jumanne, Juni 23, 2015

  KIPRE HERMAN TCHETCHE 'ALIVYOJIBEBEA' JIKO MWISHONI MWA WIKI IVORY COAST

  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Herman Tchetche akicheza ngoma ya asili ya kwao Ivory Coast na mkewe mwishoni mwa wiki baada ya kufunga pingu za maisha nchini humo.
  Wapambe wa Bi harusi wakifurahia katika sherehe hizo
  Maharusi wakifurahia kutimiza ahadi yao ya kuiunganisha miili yao kuwa mmoja
  Kipre Tchetche anatarajiwa kuwasili wiki hii kuendelea na kazi Azam FC baada ya kukamilisha zoezi hilo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIPRE HERMAN TCHETCHE 'ALIVYOJIBEBEA' JIKO MWISHONI MWA WIKI IVORY COAST Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top