• HABARI MPYA

  Jumatatu, Juni 29, 2015

  RIHANNA AMFUNGA MDOMO MAYWEATHER, ILIKUWA KATIKA TUZO ZA BET

  KUMFUNGA mdomo Floyd Mayweather si rahisi. Lakini mwanamuziki Rihanna alijaribu bahati yake kumnyamazisha Mtu Pesa na akafanikiwa, wakati wawili hao walipokuwa wameketi jirani katika tuzo za BET usiku wa jana.
  Nyota wa muziki wa R&B, Rihanna alifanya hivyo ili kumzuia mkali huyo wa makode asiendelee kuongea ongea akiwa shughuli hiyo.
  Sherehe za tuzo hizo ambazo huandaliwa na Televisheni ya Burudani ya Burudani za Weusi zilifanyika katika ukumbi wa Microsoft Theatre mjini Los Angeles, California, na watu maarufu Wamarekani weusi wakiwemo wanamuziki, waigizaji, waimbaji, wanamichezo na wengineo walihudhuria.

  Rihanna kulia akiwa na gundi aliyotumia kumziba mdomo Mayweather ukumbi wa Microsoft Theatre PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RIHANNA AMFUNGA MDOMO MAYWEATHER, ILIKUWA KATIKA TUZO ZA BET Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top