• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 26, 2015

  YANGA SC TAYARI KWA KAZI SC VILLA KESHO TAIFA

  Kocha Mkuu wa Yanga SC, Hans van der Pluijm (kulia) akizungumza na wachezaji wake wakati wa mazoezi ya leo asubuhi Uwanja wa Karume, Dar es Salaam kabla ya mchezo dhidi ya SC Villa ya Uganda kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC TAYARI KWA KAZI SC VILLA KESHO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top