• HABARI MPYA

  Ijumaa, Juni 26, 2015

  MAKOCHA WAPYA SIMBA SC WAWASILI PAMOJA MKENYA NA MUINGEREZA

  Kocha Mkuu mpya wa Simba SC, Muingereza Dylan Kerr (kushoto) akiwa na kocha mpya wa makipa wa timu hiyo, Abdul Iddi Salim (kulia) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jioni ya leo tayari kuanza kazi Msimbazi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAKOCHA WAPYA SIMBA SC WAWASILI PAMOJA MKENYA NA MUINGEREZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top