KIUNGO 'MWILI NYUMBA' WA NIGERIA ATUA AZAM FC KUSAKA NAMBA
Kiungo Mnigeria, Bamidele Tope Julius (kushoto) akiwa na beki wa Azam FC, Said Mourad (kulia) katika mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Kiungo huyo ametokea klabu ya Sport Spro ya Ligi Daraja la Kwanza Nigeria kuja kufanya majaribio Azam FC.
0 comments:
Post a Comment