• HABARI MPYA

  Alhamisi, Juni 25, 2015

  CAVANI ALITIWA 'DOLE' AKAMZABA KIBAO JARA NDIYO MAANA AKATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU

  Beki wa Chile, Gonzalo Jara akimtia 'dole' nyuma mshambuliaji wa Uruguay, Edinson Cavani katika mchezo wa Robo Fainali michuano ya Copa America jana Uwanja wa Nacional Julio Martinez Pradanos mjini Santiago. Chile ilishinda bao 1-0 na Cavani alimzaba kibao Jara baada ya tukio hilo akatolewa kwa kadi nyekundu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CAVANI ALITIWA 'DOLE' AKAMZABA KIBAO JARA NDIYO MAANA AKATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top