• HABARI MPYA

  Jumatano, Juni 24, 2015

  YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA LEO KARUME

  Kiungo wa Yanga SC, Mbrazil Andrey Coutinho (kushoto) akigombea mpira na mchezaji wa Friends Rangers, katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Yanga SC ilishinda 3-2
  Winga wa Yanga SC, Simon Msuva akiwania mpira dhidi ya beki wa Rangers
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Malimi Busungu akiwa amepiga mpira dhidi ya beki wa Rangers, Stefano Mwasyika
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amissi Tambwe akimiliki mpira mbele ya beki wa Rangers
  Winga wa Yanga SC, Deus Kaseke kulia akiwatoka wachezaji wa Rangers
  Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Abeid mziba (kushoto) akifuatilia mchezo huo
  Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Makumbi Juma 'Bonga Bonga' au 'Homa ya Jiji' (kushoto) akiwa na beki wa zamani wa Simba SC, Iddi Suleiman 'Meya' (kulia) wakifuatilia mchezo huo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA FRIENDS RANGERS KATIKA PICHA LEO KARUME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top