• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 27, 2015

  JONAS MKUDE KATIKA 'UZI' WA BIDVEST WITS TAYARI KUJARIBU BAHATI

  Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akiwa amevalia jezi ya Bidvest Wits ya Ligi Kuu ya ABSA Afrika Kusini tayari kuanza mazoezi ya majaribio katika klabu hiyo. Mkude aliwasili Johannesburg juzi na jana alitarajiwa kuanza majaribio.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JONAS MKUDE KATIKA 'UZI' WA BIDVEST WITS TAYARI KUJARIBU BAHATI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top