• HABARI MPYA

  Jumamosi, Juni 20, 2015

  NOOIJ ASINDIKIZWA NA POLISI BAADA YA MECHI STARS IKILALA 3-0 ZANZIBAR

  Kocha wa Taifa Stars akisindikizwa na Polisi baada ya mchezo dhidi ya Uganda usiku huu Uwanja wa Amaan. Taifa Stars imefungwa mabao 3-0 mechi hiyo ya kwanza ya kufuzu CHAN 2016 Rwanda.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NOOIJ ASINDIKIZWA NA POLISI BAADA YA MECHI STARS IKILALA 3-0 ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top