• HABARI MPYA

  Jumapili, Juni 28, 2015

  ALLY YANGA NDANI YA SUTI NYEUSI, UTAMJUA KAMA NDIYE BWANA MASIZI!

  Shabiki maarufu wa Yanga SC, Ally Yanga akiwakebehi mashabiki wa wapinzani, Simba SC jana wakati timu yake ikimenyana na SC Villa ya Uganda katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na kutoka sare ya 0-0.
  Ally Yanga jana alitoka na suti nadhifu nyeusi, tofauti na alivyozoeleka kujipaka misizi na kuvaa nguo za ovyo ovyo

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ALLY YANGA NDANI YA SUTI NYEUSI, UTAMJUA KAMA NDIYE BWANA MASIZI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top