• HABARI MPYA

    Wednesday, June 10, 2015

    KIPA MPYA YANGA SC 'BONGE LA MVINJE', DIDA NA BARTHEZ WAJIPANGE

    Kipa mpya wa Yanga SC, Benedictor Tinocco akifurahia jambo wakati wa mazoezi ya timu hiyo jana Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Tinocco amesajiliwa kutoka Kagera Sugar baada ya kuibuliwa katika peogramu ya Maboresho ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Tinocco sasa atagombea namba Yanga SC dhidi ya makipa wazofu, Deo Munishi 'Dida' na Ally Mustafa 'Barthez'.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIPA MPYA YANGA SC 'BONGE LA MVINJE', DIDA NA BARTHEZ WAJIPANGE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top