Leroy Fer wa QPR kulia akipambana na Bacary Sagna wa Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo. Timu hizo zilitoka 2-2, mabao ya City waliokuwa wageni yakifungwa na Sergio Agüero yote, wakati ya QPR yamefungwa na Charlie Austin na Martin Demichelis aliyejfunga
0 comments:
Post a Comment