• HABARI MPYA

    Saturday, November 08, 2014

    SURE BOY ALIVYOKABIDHIWA TUZO NA 'MPUNGA' WAKE LEO CHAMAZI

    Mwakilishi wa Bodi ya Ligi, Steven Mnguto kulia akimkabidhi mchezaji wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Oktoba wa ligi hiyo, leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
    Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania, wadhamini wa Ligi Kuu, Ibrahim Kaude akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 1 Sure Boy kwa kuwa Mchezaji Bora wa Oktoba

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SURE BOY ALIVYOKABIDHIWA TUZO NA 'MPUNGA' WAKE LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top