• HABARI MPYA

    Wednesday, November 05, 2014

    DIEGO COSTA ASAFIRI NA CHELSEA KUIFUATA MARIBOR, REMMY BADO

    MSHAMBULIAJI Diego Costa ni miongoni mwa wachezaji 22 wa Chelsea walioondoka London kwenda Slovenia Jumanne kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Kundi G dhidi ya Maribor Jumatano.
    Chelsea iliifunga Maribor 6-0 wiki mbili zilizopita wakati Costa, akikosa mechi nne na sasa ams on a maumivu ya nyama kiasi cha kucheza mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya QPR Jumamosi.
    Mshambuliaji Loic Remy anayesumbuliwa na nyonga na kiungo John Obi Mikel anayeumwa goti ndio majeruhi pekee watakaokosekana katika mchezo huo, wakati kipa wa tatu Mark Schwarzer anaweza kuanza.
    Diego Costa amesafiri na Chelsea kwa ajili ya mechi na vibonde Maribor Ligi ya Mabingwa
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DIEGO COSTA ASAFIRI NA CHELSEA KUIFUATA MARIBOR, REMMY BADO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top