• HABARI MPYA

    Monday, August 18, 2014

    WAZIRI NKAMIA AWATEMBELEA AZAM FC LEO KUWATIA UPEPO WABEBE NDOO YA KAGAME

    Kombe liende Dar; Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na MIchezo, Juma Nkamia (katikati) akizungumza na wachezaji wa Azam FC, alipowatembelea leo katika hoteli waliyofikia, Kigali View mjini hapa ambako wanashiriki Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame na keshokutwa watacheza Robo Fainali dhidi ya El Merreikh ya Sudan. Kulia na Kaimu Balozi wa Tanzania hapa Rwanda, Francis Mwaipaja na kushoto Meneja wa Azam FC, Jemadari Said. Nkamia amewahamasisha wachezaji wa Azam wapigane kiume warejee na Kombe Dar es Salaam. 
    Wachezaji wa Azam FC wakimsikiliza kwa makini Waziri Nkamia
    Kutoka kushoto kocha Joseph Marius Omog, Kipre Balou na Kipr Tchetche

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: WAZIRI NKAMIA AWATEMBELEA AZAM FC LEO KUWATIA UPEPO WABEBE NDOO YA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top