FIGO ALIPOMNYANYASA HABIB KONDO, LAKINI AKAKWAMA KWA MANYIKA JANA TAIFA
Luis Figo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Tanzania Eleven, Habib Kondo katika mchezo wa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Real Madrid ilishinda 3-1.
Figo anamzunguka Habib Kondo
Figo alifanikiwa kumgeuza Habib Kondo na kuanza safari
Lakini kipa Manyika Peter akawahi kutoka na kuokoa
0 comments:
Post a Comment