• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 26, 2014

  VAN GAAL MENO THELATHINI NA NJE, YOTE MBILI AKIWA NA WAKALA WA DI MARIA LEO

  DILI la Angel di Maria kutua Manchester United linakaribia kabisa kutimia baada ya wakala wake, Jorge Mendes kupigwa picha akiwa na kocha wa Mashetani hao Wekundu, Louis van Gaal.
  Van Gaal alikuwa akitabasamu na Mendes wakati wawili hao wakiwa kwenye gari kuelekea viwanja vya mazoezi vya United leo wakitazamiwa kukamilisha dili la Di Maria na klabu hiyo.
  Wote wanatabasamu: Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal (kulia) akiwa na wakala wa Di Maria, Jorge Mendes kushoto leo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VAN GAAL MENO THELATHINI NA NJE, YOTE MBILI AKIWA NA WAKALA WA DI MARIA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top