WAZEE WA KAZI, FRIENDS OF SIMBA...MWAKA HUU KAZI IPO
Wadau wa kundi la Friends of Simba SC, kutoka kulia Musley Ruwey, Zacharia Hans Poppe (Mwenyekiti), Salim Abdallah na Crescentius John Magori wakiangalia mchezo wa timu yao, Simba SC jana dhidi ya KMKM Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 5-0.
0 comments:
Post a Comment