• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 27, 2014

  BEKI NGONGOTI BINGWA LA EUROPA LEAGUE LATUA SPURS

  Kimeeleweka: Beki Federico Fazio mwenye urefu wa futi 6 na inchi 4 aliyeiwezesha Sevilla kutwaa taji la Europa League msimu uliopita, amekamilisha uhamisho wake kutua Tottenham Hotspur kwa Pauni Milioni 8.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BEKI NGONGOTI BINGWA LA EUROPA LEAGUE LATUA SPURS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top