• HABARI MPYA

  Jumanne, Agosti 26, 2014

  DI MARIA AFYA SAFI, AENDA KUSAINI MAKAO MAKUU

  KIUNGO Angel di Maria amefaulu vipimo vya afya kuelekea kukamilisha uhamisho wake wa Pauni Milioni 59.7 Manchester United kutoka Real Madrid.
  Dili hilo la kuvunja rekodi ya usajili Uingereza, litamfanya Di Maria awe analipwa Pauni 200,000 kwa wiki katika Mkataba wa miaka mitano atakaosaini. 
  Sasa mchezaji huyo anaelekea makao makuu ya klabu kwa ajili ya kusaini.

  Tabasamu la ushindi: Di Maria alitoa mchango mkubwa kwa Real Madrid kutwaa ubingwa wa Ulaya msimu uliopita
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DI MARIA AFYA SAFI, AENDA KUSAINI MAKAO MAKUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top