Kocha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mart Nooij akiwa Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda kushuhudia mchezo wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame kati ya El Merreikh ya Sudan na Azam ya Dar es Salaam. Merreikh ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya bila kufungana dakika 90. Nooij aliyewasili leo Kigali kwa pamoja na Mshauri wa Rais wa TFF, Plereginius Rutayuga kushoto ataondoka kesho kurejea Dar es Salaqam baada ya Azam kutolewa
Nooij alikuwa na kalamu yake akiandika kuhusu wachezaji wa Azam waliomvutia |
0 comments:
Post a Comment