• HABARI MPYA

  Saturday, August 30, 2014

  TORRES ALIVYOPOKEWA KIFALME AC MILAN


  Amewasili: Fernando Torres pichani akiwa na skafu ya AC Milan baada ya kuwasili Jijini Milan kufuatia kujiunga na klabu hiyo kwa mkopo wa miaka miwili kutoka Chelsea 
  En route: Torres with AC Milan CEO Adriano Galliani just after his arrival at Linate Airport
  Torres akiwa na Mtendaji Mkuu wa AC Milan, Adriano Galliani baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Linate 
  Mobbed: Torres was greeted by fans as he arrived for his medical at 'Madonnina Clinic'
  Torres akiwa amezongwa na mashabiki wakati anakwenda kufanyiwa vipimo vya afya kliniki ya Madonnina
  Selfie: Supporters tried to take pictures with the Chelsea international as he arrived for his medical
  Mashabiki wakijaribu kupiga picha na Torres
  New challenge: After seven years in the Premier League, Torres will head for Serie A
  Torres akisaini jezi za mashabikiPose: A supporter outside the 'Madonnina Clinic' takes a photo with the £50m Chelsea striker
  Mashabiki wakipiga nays picha
  Good times: A supporter in a Liverpool shirt asks Torres to sign his red jersey
  Huyu alikwenda na jezi ya Torres enzi za Liverpool ili asinine na mchezaji huyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TORRES ALIVYOPOKEWA KIFALME AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top