• HABARI MPYA

  Jumatatu, Agosti 25, 2014

  YANGA SC NA SHANGANI KATIKA PICHA JANA UNGUJA

  Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho kulia akimtoka beki wa Shangani katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Yanga SC ilishinda 2-0.
  Coutinho akimuacha chini beki wa Shangani

  Coutinho akimzunguka beki wa Shangani

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Geilson Santana 'Jaja' akitafuta maarifa ya kumtoka beki wa Shangani

  Winga wa Yanga SC Simon Msuba akimpiga tobo beki wa Shangani
  Coutinho akimkimbiza beki wa Shangani
  Kona iliyoelekezwa lango mwa Shangani, Hussein Javu akiwa ameruka na kipa wa Shangani

  Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Shangani

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA SC NA SHANGANI KATIKA PICHA JANA UNGUJA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top