• HABARI MPYA

  Thursday, August 28, 2014

  RONALDO ALIVYOSHEREHEKEA TUZO YAKE YA UFALME WA SOKA ULAYA LEO UFARANSA


  Busu kwenye tuzo: Nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa leo mjini Monaco, Ufaransa
  Cristiano Ronaldo akifurahia na tuzo yake
  Ronaldo (katikati) akifurahia baada ya kushinda. kushoto ni wachezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robbe kulia
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO ALIVYOSHEREHEKEA TUZO YAKE YA UFALME WA SOKA ULAYA LEO UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top