• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 24, 2014

  DIEGO COSTA AKIVUTA MEHELA BAADA YA KUIPIGIA BAO CHELSEA JANA


  Piga bao, vita mkwanja; Mshambuliaji mpya wa Chelsea Diego Costa aliyenunuliwa kwa Pauni Milioni 32 kutoka Atletico Madrid akitoa fedha kwa mashine za benki (ATM) muda mfupi baada ya kuifungia Chelsea katika ushindi wa 2-0 jana dhidi ya Leicester katika Ligi Kuu ya Englans. Diego amefunga mechi zote mbili za awali za Chelsea.
  Mwanzo mzuri: Costa akishangilia bao lake la jana dhidi ya Leicester Uwanja wa Stamford Bridge dakika ya 62
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIEGO COSTA AKIVUTA MEHELA BAADA YA KUIPIGIA BAO CHELSEA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top